PICHA NA MATUKIO BAADHI
Ayubu Zabron mwanafunzi wa udereva akiwa katika mazoezi kwa vitendo katika barabara ya Njombe-Makambako
Hapa ndipo ECKROS DRIVING SCHOOL mahali ambako unapata elimu ya edereva bora na mahili nyanda za juu kusini
St. Hilalia Mlwilo akipokea cheti baada ya kuhitimu na kufaulu mafunzo yake ya nadharia na vitendo kutoka shule bora ya udereva ECKROS DRIVING SCHOOL
Hafla fupi tukiwa na wahitimu wa mafunzo ya udereva hapa ECKROS DRIVING SCHOOL




Hakuna maoni